gall

semina ya kuwajengea uwezu wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Pugu station iliyopo iwilaya ya ilala Dar-es-salaam,Youth Change Association Tunaimani kwamba njia bora ya kuwafanya vijana kujiajiri ni katika kuwajenga kujikita na kilimo na ufugaji,YCA TUNAWAWEZESHA VIJANA ELIMU YA KUTUMIA RASILIMALI RAHISI ILI KUJIKWANUA KIUCHUMI,Ufugaji wa nyuki ni shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa na faida inayotokana na shughuli hii ni kubwa kutokana na maitaji makubwa ya mazao ya nyuki na asali. Hivyo kwa pamoja tuna kualika wewe kijana kujiajiri kupitia ufugaji nyuki ili uweze kuendelea kiuchumi. "CHANGE YOUR INSIDE REALITY ".
Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment